habari yako ndugu
mda wa kusajili masomo saris umeongezwa hadi kesho tafadhali hakikisha kama ujamaloza ada au malipo ya bima umalize maana kulipa bima ni lazima bila ya hiyo uwezi kupick masomo tafadhali tuwaataarifu na marafiki zetu mapema iliwaweze kukamilisha hili zoezi kama huna invoice ya bima au repeat module nenda accounts ili ukachukue invoice na ukishalipia tu ingia kwenye account yako ya saris uweze kupick masomo yako ya semester ya kwanza tu
tafadhali zingatia hilo
Claud Ndikwege.
Waziri wa Elimu CBE
2016/2017.
0 comments:
Post a Comment