Wanafunzi wote wa cheti, diploma na (Reapeat Module) 2016/2017
Muda wa kusajili masomo umeongezwa mpaka tarehe 16 /12/2016. Hivyo mnaombwa muweze kusajili masomo yenu kabla ya wakati huo kufika tamati na kwa mwanafunzi yeyote ambaye amemaliza ada na amelipia bima lakini hakuweza kufanya mitihani iliyoanza tarehe 13/12/2016 hadi sasa ina mpasa afanye taratibu zinazotakiwa kwa ajili ya kuhairisha mitiani na kuja kuifanya wakati wa suplimentary.
kwa ugumu wowote tafadhali fika Ofisi za Cobeso ili uulize na upate maelekezo zaidi ni vyema ukafatilia mapema ili kuepuka usumbufu kwa wakati huu wa mitihani
Ahsante,
Claud A. Ndikwege
Waziri wa Elimu,
0 comments:
Post a Comment