TANGAZO
Procurement and Supply Student Association (PSSA)
Wanafunzi wa Procurement siku ya Jumamosi tarehe 3/12/2016
kutakuwa na mafunzo kutoka Bodi ya manunuzi (PSPTB) Procurement and Supply
Professional Technical Board. Mnaombwa kuhudhuria bila kukosa kwani ni muhimu sana.
MUDA - 10:
30 AM
MAHALI - BLOCK “A”
Kutoka kwa:-
Masoud M. Masoud
Mwenyekiti (PSSA CBE)
0 comments:
Post a Comment