
Karibu kwenye blog ya wizara ya elimu katika chuo cha Elimu ya biashara CBE kampasi ya Dar es Salaam
Blog hii itakujuza habari kem kem kuhusiana na Chuo Bora kabisa Nchini na Afrika Mashariki kwa kutoa Elimu ya Biashara yenye Tija na Viwango vya Kimataifa vinayomuwezesha mwanafunzi kujiajili au kuajiliwa kwenye soko la Ajira
Ungana Nasi,
Ahsante.
Claud A. Ndikwege
Waziri wa Elimu
COBESO Dar
0 comments:
Post a Comment