on Monday, August 23, 2021



Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mradi wa Kujenga Ujuzi kwa Maendeleo na Uingiliano wa Kikanda katika Afrika Mashariki (EASTRIP) imetoa zaidi ya Shilingi bilioni 37 kwa Chuo cha Ufundi Arusha kwa ajili ya kuimarisha Kituo cha Mafunzo na Utafiti wa Nishati Jadidifu cha Kikuletwa (KRETC) ili kukifanya kuwa kituo mahiri cha uzalishaji wa nishati jadidifu.

Akizungumza na waandishi wa habari walio kwenye ziara ya kutembelea miradi ya Elimu iliyoandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mwenyekiti wa Kamati ya Utekelezaji wa Mradi wa EASTRIP Kituo cha Kikuletwa Dkt. Erick Mgaya amesema fedha hizo ni mkopo wa Benki ya Dunia wenye lengo la kuandaa nguvu kazi ya kutekeleza na kusimamia miradi ya kikanda yenye mikakati ya kimaendeleo iliyomo ndani ya \afrika Mashariki.

Dkt. Mgaya ameendelea kuelezea kuwa Kituo hicho cha Mafunzo na Utafiti cha Kikuletwa ni miongoni mwa vituo vinne nchini ambavyo vimewezeshwa kuwa vituo mahiri vya mfano vya kutoa mafunzo ya elimu ya ufundi ambapo Kituo cha Kukiletwa kitazalisha Umeme kwa kutumia nguvu za maji, mionzi ya Jua, Upepo, Tungamo taka pamoja na kujenga mitambo itakayowezesha kuzalisha umeme wa nguvu za maji wa 1.65 MW.

“Uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati ya maji katika ukanda wa Afrika Mashariki hakuna chuo ambacho kinatoa mafunzo kwa nadharia na kwa vitendo kwa pamoja hivyo Kituo kitajenga mitambo ya uzalishaji wa umeme kwa nguvu za maji wa 1.65MW na kuwezesha mafunzo ya kitaalamu yanafanyika hapa, ambapo mpaka sasa tuna mkataba na TANESCO wa kuwajengea uwezo watumishi wake”. amesema Dkt. Mgaya

Aliongeza kuwa kupitia fedha hizo Kituo kitajenga maabara mbili, mabweni mawili yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 500 kila moja, karakana sita, jengo la utawala, madarasa, kumbi za mihadhara, bwalo la chakula, kituo cha afya na nyumba za watumishi kwa ajili ya kufundishia?na kukiwezesha kufanya kazi katika mazingira rafiki na kuongeza udahili kufika wanafunzi 643 ukilinganisha na idadi iliyopo sasa ambao ni 168. 

Awali Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha? \Dkt. Yusuph Mhando aliwaambia waandishi wa habari kuwa Mradi wa EASTRIP katika chuo hicho unalenga kuanzisha Kituo cha Umahiri cha Kikanda katika Nishati Jadidifu ambapo tayari Chuo kimeshapokea Shilingi bilioni 11.2 ambayo ni asilimia 30ya fedha yote ya mradi.

eaelink 2017



East African Community Headquarters, Arusha, Tanzania, 20th August, 2021: The 2nd Regional Bioeconomy Conference will be held virtually on 10th and 11th November, 2021 with a small group of in-person participants in Nairobi, Kenya.

The two-day conference is being co-hosted by BioInnovate Africa/International Centre of Insect Physiology and Ecology (icipe), the Biosciences eastern and central Africa-International Livestock Research Institute (BecA-ILRI) Hub, and the East African Science and Technology Commission (EASTECO), and the Stockholm Environment Institute (SEI) – Africa Centre.  

The theme of the conference is “Building a Sustainable and Resilient African Bioeconomy.” The theme is cognisant of the global need to reduce carbon emissions, as well as build resilience against emerging and re-emerging diseases such as COVID-19, thus opening up new possibilities for biologically based research and innovation.  

Africa, with its rich biological diversity, and a relatively large proportion of arable land, is well positioned to tap these opportunities, and build a competitive but sustainable bioeconomy. The latter is seen as one of the ways of diversifying sources of growth through value addition to biological resources, and linking production to new markets. 

Additionally, the period 2021 to 2030 is a decade for accelerating efforts towards the Sustainable Development Goals (SDGs) 2030. In this regard, the conference participants will discuss how sustainable bioeconomy initiatives in the continent, especially those developing healthy foods, safer and more efficacious medicines, clean energy and water, will position themselves to contribute more to the realisation of the SDGs 2030. The discussion will draw from examples of bio-based innovations that are creating new business prospects and changing lives in the continent. 

The conference will also discuss regionalisation of bioeconomy, with the idea that the greatest benefits of a sustainable bioeconomy are realised through regional collaboration. Participants will discuss how regional economic blocs like the East African Community (EAC), Economic Community of the West African States (ECOWAS) and the Southern African Development Cooperation (SADC), among others, can be the anchor for regional bioeconomy policies and strategies. Key to this discussion will be opportunities for inter-Africa cooperation in building sustainable and resilient bioeconomies. 

The conference will create awareness about sustainable bioeconomy initiatives in the continent, and give participants a platform to build research, innovation and bio-entrepreneurship partnerships. 

Participants will also agree on concrete steps for cooperation across regions, especially on developing regional bioeconomy strategies.  

For more information, please, contact to: 

Executive Secretary
East African Science and Technology Commission 
Email: easteco@eachq.org
Phone: +250 788 301402