on Friday, December 23, 2016



  MEETING WITH ALL BACHELOR ONE CLASS   REPRESENTATIVE (CR`S)    TNC/TFC 2016

Refers the above Caption,

There will be a meeting with the mentioned class representatives with Quality assurance and the Minister For Education on December 27, 2016   time 04:00 Pm , Venue at  Cobeso Office  which will aim to discuss various matters concerning our college and other important related issues.
You are advised to not miss.

Thanks,




TO : ALL STUDENT ATTENDED LAPF PENSION FUND 
         SEMINAR

RE : COLLECTION OF LAPF CERTIFICATE

Refers the above Caption,
Students  attended LAPF seminar on Social Security Issues conducted at CBE, you are supposed to collect your certificate from Ministry For Education With Night College at COBESO Offices.


Thanks

Sadick Juma
Secretary General

Ministry for Education with night College  

on Friday, December 16, 2016


27/12/2016 
Semester I break for certificate and Diploma courses Begins

30/12/ 2016     
Semester I break for certificate and Diploma courses Ends

02/01/2017   
Semester II for certificate and Diploma courses Begins

on Wednesday, December 14, 2016

Wanafunzi wote wa cheti, diploma na (Reapeat Module) 2016/2017

Muda wa kusajili masomo umeongezwa mpaka tarehe 16 /12/2016. Hivyo mnaombwa muweze kusajili masomo yenu kabla ya wakati huo kufika tamati na kwa mwanafunzi yeyote ambaye amemaliza ada na amelipia bima lakini hakuweza kufanya mitihani iliyoanza tarehe 13/12/2016 hadi sasa ina mpasa afanye taratibu zinazotakiwa kwa ajili ya kuhairisha mitiani na kuja kuifanya wakati wa suplimentary.

kwa ugumu wowote tafadhali fika Ofisi  za  Cobeso  ili uulize na upate maelekezo zaidi ni vyema ukafatilia mapema ili kuepuka usumbufu kwa wakati huu wa mitihani

Ahsante,

Claud A. Ndikwege
Waziri wa Elimu,



This is to inform all NTA Level 4,5 and 6 students who failed to meet module registration deadline on 13th December,2016 that another extension is granted and now you are given up to Friday ,2016 to register. There will be no any further extension thereafter.
Kindly be guided according.

Dr. Casmir R.
Director of Undergraduates Studies



on Monday, December 5, 2016
TANGAZO MUHIMU
KUONGEZWA KWA MUDA WA USAJILI NA KUCHAGUA  MASOMO SARIS
HADI TAREHE 8 /12/2016 WANAFUNZI WA  DIPLOMA NA CHETI
Napenda kuchukua fursa hii kuwataarifu wanafunzi wote ombi letu la kuomba kwa menejment juu ya mda kuongezwa hususani kwa diploma na certificate , Mda wa usajili  umeongezwa kwa ajili ya usajili ili wanafunzi waweze kufanya usajili huo na aweze kufanya  mitihani na  ni lazima alipe ada yote ya semester ya kwanza pamoja na Bima ya Afya
  •  Kwa yeyote ambaye hana namba ya invoice basi aende kwa watu wa accounts akapewe invoce namba na aweze kulipia Bima yake maana ni lazima
  •  Kwa Mwanafunzi mwenye Bima Kutoka makampuni mengine basin aye awasilishe uhalali wa bima zao kwamba zipo active kwa kupeleka nakala ya copy ya bima yako yenye uthibitisho kutoka kwa kampuni ya bima husika.
  •  Ili uweze kufanya mtihani na kuona course work lazima uwe umesajiliwa na umesajili  masomo yako yote ya semester ya kwanza( Module Registration ) bila ya kusahau kufanya Course Evaluation katika kila somo ambalo litakua uploaded na Mwalimu Husika.
  •  Kwa Wanafunzi ambao wanarudia masomo au kuyabeba (Carryforwad and Repeat Module ) wanapaswa pia kusajili masomo yao wanayo yarudia kwa semester hii ya kwanza na  wa repeat Module lazima  ulipie somo lako kwa kutumia invoice number na usajili katika akaunt yako ya saris pamoja na bima
  • Kama ulisahau kusajili masomo yako au kupick wakati wako ni sasa inabidi ufanye taratibu hizo.
  • Hakikisha Unatatua matatizo yako yote ambayo yanahusiana na saris usije ukasema ukujua maana hakitakuwa na muda wa ziada tena.


ANGALIZO
Hakutakuwa na Muda mwingine utakao ongezwa wa ziada kama hutokamilisha hayo basi itakupaswa ufanye taratibu zingine za kuhairisha mwaka wa masomo hadi mwakani tena

Tafadhali Ndugu wanafunzi nawaomba muweze kuzingatia mambo Muhimu  Ikiwa ni Pamoja na
  
   Ø  Kupita kwenye mbao za Matangazo kila mara na kutembelea kwenye blogu ya wizara ya elimu (cbeeducation.blogspot.com)
   Ø  Kuzingatia Sheria na kanuni za Mitihani
   Ø  Pia tuwasilkilize Viongozi wetu wa Madarasa na Viongozi Wengine punde watuleteapo  taarifa Zenye umuhimu ambazo wanatupatia madarasani na kuzitekeleza Mapema kabla ya hazijatuathiri
Tafadhali taarifa hii ya Muhimu Mjulishe na mwenzako kwa haraka sana  

KUPITA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO NI MUHIMU SANA
Claud A Ndikwege

Waziri wa Elimu na Masomo ya Jioni
Nakala:
            Quality Assurance
            Dean of Students
            President Office 



END OF SEMESTER 1 EXAMS TIMETABLE -FINAL DRAFT
FOR CERTIFICATE,DIPLOMA 1 AND DIPLOMA 2 TFC/TNC 

CERTIFICATE
DIPLOMA 1
DIPLOMA 2






on Thursday, December 1, 2016


habari yako ndugu  
mda wa kusajili masomo saris umeongezwa  hadi kesho tafadhali hakikisha kama ujamaloza ada au malipo ya bima umalize maana kulipa bima ni lazima  bila ya hiyo uwezi kupick masomo tafadhali tuwaataarifu na marafiki zetu mapema iliwaweze kukamilisha hili zoezi  kama huna invoice ya bima au repeat module nenda accounts ili ukachukue  invoice na ukishalipia tu ingia kwenye account yako ya saris uweze kupick    masomo yako ya semester ya kwanza tu
tafadhali zingatia hilo

Claud Ndikwege.
Waziri wa Elimu CBE
2016/2017.